Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unateseka kinoma hadi nakuonea huruma [emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana ya natural calamity.
 
Angalia video ya yale maeneo ambayo huwa unaokota okota aerial view zake sasa angalia hali ikoje[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena huu ni mtaa wa raia wa kawaida tu,
Nitakuomba na mimi uniletee mitaa ya raia ya kawaida huko.

Kuna mmoja wenu alileta hiyo picha ya Kwanza nikamwambia aniletee picha za nyuma ya hizo buildings. Sijamuona tena!
 
Kufikia 2020 mwezi wa kumi kutakuwa na Airbus 220-300 zitakuwa 6
Zilizopo mbili
Zinazotengenezwa mbili
Zilizowekewa sign juzi mbili.
View attachment 1214930

MASAHIHISHO

hizo Airbus mbili bado hazijatengenezwa. Zimetiwa sain kwanza za manunuzi.

Hiyo inayoonekana kweny picha hapo uliyopost ni Dreamliner ambayo itakuja November au December mwaka huu.

Pia kuna Dash 8-Q400 mbili zimeshalipiwa na kutengenezwa, hizi nazo ndo zinakuja October au November mwaka huu. NB: Ni vile tu hii kampuni ya Canada haitoi updates mitandaoni.. ndo mana unaona kimya

Angalia haya maelezo [emoji116]
 
Nairobi ndio sehemu pekee duniani Ufukara ni sehemu ya Tourist Attraction. Wakenya wako so happy kutembeza Wazungu kuwaonesha jinsi walivyochapwa na umaskini[emoji16][emoji16]
Sio kuchapwa wame palala...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tanzania tukifikia level hii nahama nchi...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…