Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We jamaa baada ya kuona tumefungua termila 3 imekuuma sana umeamua ku spam uzi wetu.
Hii terminal inawapa goosebumps sana. It's akin to a young girl receiving her menses for the very first time. Huko tulikuwa miaka za tisini
 
Sio east africa kaka huu mwiba ni tushio africa
Number yetu mnasoma hadi Yesu arudi

Hii terminal inawapa goosebumps sana. It's akin to a young girl receiving her menses for the very first time. Huko tulikuwa miaka za tisini
Miaka ya tisini wapi wakati bado mnalo hilo gofu lenu la 70's?
 
We jamaa baada ya kuona tumefungua termila 3 imekuuma sana umeamua ku spam uzi wetu.
How about this? ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

NAJUA UMEUMIA SANA ILA POLE!!
 
Miaka ya tisini wapi wakati bado mnalo hilo gofu lenu la 70's?

Lanes please ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

Naona mumeanza kuugua homa kufunguliwa jana tu mushapa mafua ya nguruwe๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
When it comes to passenger numbers/traffic, number yetu bado mnasoma. Yet mnapiga kelele hapa kama watoto wa chekechea. Terminal three! Terminal three! Terminal three! usiku na mchana. Useless! You should choose your battles well. Hatuko ligi moja nanyi hata kidogo

Naona mumeanza kuugua homa kufunguliwa jana tu mushapa mafua ya nguruwe๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Mjipe miaka kama ishirini hivi kama ni kidogo sana ndio muanze hata kuwa na ndoto za kulinganisha hilo hofu lenu na JKIA. Kwa sasa ni sisi tunatamba Africa nyinyi ni watazamaji tu!
 
Mjipe miaka kama ishirini hivi kama ni kidogo sana ndio muanze hata kuwa na ndoto za kulinganisha hilo hofu lenu na JKIA. Kwa sasa ni sisi tunatamba Africa nyinyi ni watazamaji tu!
Uahahhahaha kudadadeki kufunguliwa tu mwiba mushaanza kuharisha ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† t
 
Hyu hapa mzungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Wewe na mzungu nani anaakili???[emoji38][emoji38][emoji38] hebu zoom hzo pic utuoneshe slum hani mzungu hakuona wewe ndio umeona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unanifurahisha sana
 
Hii terminal inawapa goosebumps sana. It's akin to a young girl receiving her menses for the very first time. Huko tulikuwa miaka za tisini
Hakuna kitu apo umeongea Leo, hamjawah Kua na facility kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ