Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

naona post yangu moja mmei quote mara karibu kumi..ukwel mchungu wasee wa heka 6 na nyumba moja katika kijiji mkoani dar
 
Hii wanasoma kimya kimya tu huwez ona wakisema chochote hapa,mfa maji @teargas
 
hawajui kuwa ardhi inakuwa cintrolled ander government n society maana kwa ipo controlled under investor rich mabwanyenye na wanasiasa,,,,,ndiyo maana hawana haki
 
Ardhi ya Kenya siyo ya wakenya, nyie mpo tu mama vibendera. Nchi yenu ilishauzwa miaka mingi, ndiyo maana miaka fulani hamkuwa mnaruhusiwa kuingia Nairobi na mpaka Leo hawana mandate ya kumiliki ardhi Nairobi ardhi ipo kibera. Kenya ni nchi ya ajabu Sana.
 
Ukiwa na pesa you can buy land in Nairobi man or anywhere in Kenya. Ama ununue property
 
Nilipost hii picha watu wakaclaim si nairobi, so here it is again Uhuru Highway. Hizo beautifications ni the ones Sonko did. Na that green/yellow color ni ya Nairobi. Hizo green/yellow barriers
 
Sahv naona 3
Hizo tatu ziko above 130 metres high, they just tower the others. Kando ya UP kwa hio picha ni Rahimtulla naliko 81 metres, UAP ni twice the size thats why those 3 zinastand out. Pia kuna 98 metre KCB towers hapo but liko dwarfed so hivyo si vibanda, ni kukuwa dwarfed. Nairobi we love trees so there are many buidings kwa hio 'forest' unaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…