Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endelea kuota andaeni deni lingine la mchina lamu port ksh 2.5trillion πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Big white elephant in the world
Ethiopia kashajitoaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 1061012
Uchumi wa Ethiopia haiwezekan tegemea djibout pekee,Lamu iko palepale,Mumefikia wapi na bagamoyo pot? maana port imewashinda
 
Uchumi wa Ethiopia haiwezekan tegemea djibout pekee,Lamu iko palepale,Mumefikia wapi na bagamoyo pot? maana port imewashinda
Sio mm soma article hio na ethiopia washafanya investment za kufa mtu djibout so endelea kujipa matumainiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ hio ndio itakua the biggest white elephant in the world
 
Kadaraja ka tazara kamewamwaga makamasi ndo mtajenga hiyo project? Mtaishia kuona kwenye nchi za wenzenu na kwenye video tuu
Unawasiwasi sana na tanzania inakunyima usingiziπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† raha sana kuona munavoweweseka
 
Kadaraja ka tazara kamewamwaga makamasi ndo mtajenga hiyo project? Mtaishia kuona kwenye nchi za wenzenu na kwenye video tuu
Ulichoandika hapo juu kinaonyesha una chuki na hii nchi. Utajipa magonjwa yasiyoambukiza bure.
Hate ya Nini mzee? Hiyo project utaishia kuiona kwenye video,hamna huo uwezo labda 2059
 
Kinachowaumiza ni kuona maendeleo yanakwenda kwa speed wakat kwao wana miaka 50 wakijenga nchi yao na hakuna walichofanya cha maanaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Nishamuelewa hatanipa tena shida.
 
So now how do you feel knowing your country will never overtake Kenya,
Sio will never, ishaanza kua overtaken tayari hatuzungumzi habari ya mamabo yajao tunazungumza sasa hviπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jiji zima lina fire station mbili πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† uhuru kaiacha nchi inapumulia makalio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…