Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waipateje kwanza...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Serikali yao haijui vitu vizuri...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hapa wanaona maruerue tu, hawaamini Tanzania inapiga hatua kubwa kila kuchwao, juzi nilishangaa jinsi walivyopigwa na butwaa kwenye zile finesheet za traffic barabarani hawajui kuna hii kali zaidi, hii system driver akizidisha mwendo unaopaswa kwenye eneo husika iwe ni 30kph au 50 kph au 80kph system itampa warning automatically mara ya kwanza, mara ya pili ikipiga kengele mara ya 3 ni driver atapigwa fine na licence yake itakua barred

Ikumbukwe hii system anakua nayo mpaka mmliki wa bus kwenye simu yake kwenye app, haonewi mtu.
 
Dooh aisee ni noma sana[emoji122][emoji122][emoji122] kwenye masuala ya transiport watapata tabu sana hawatoiweza TZ milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…