Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeye ananiletea trip buses [emoji23][emoji23][emoji23], zile za kawaida.
Trip buses hizi weww unawazimu kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ mapovu yanakutoka
 
πŸ˜…πŸ˜… hujuangi amelemaa akili. Hajaai ona zile shuttle buses za KU. Acha ajifurahishe
Sijaona nn sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii mitumbwi haina sura wala haijulikani mbele na nyuma
 
Hizi ni kama zile BRT zenyu, they only operate inside school not long distances [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. I know hiyo ndo hukuwa unajua [emoji23][emoji23]
Tofautisha unga na mcheleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Naona ugonjwa wako wa akili umerudi....povu unamwaga bila kusimama
Hahahha nimecheka sana hii ndio shuttle wewe unaona bora east africa😁😁😁😁







Hebu angalia bus za udom πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…