Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo nimekukaza koo [emoji23][emoji23][emoji23], hata kumeza mate haiezikani [emoji23][emoji23]
Huna ubavu hata siku moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ endelea kujipa matumaini kwenye hakuna

Siku mukipata ultra modern terminal kama hii we nitag tuπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡ ntakua nakusubiri dadeki tanzania safari hii inacheza na kundu yenyu😁😁😁😁
 
Ultra modern kitu gani?[emoji23][emoji23][emoji23] Sema siku Tz itaupgrade from a mabati rolling mill like that utatutag [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ultra modern kitu gani?[emoji23][emoji23][emoji23] Sema siku Tz itaupgrade from a mabati rolling mill like that utatutag [emoji23][emoji23][emoji23]
Utalia sana mwaka huu buda watu wamekweka over 280m usd mezani unafkiri mchezoπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Baadala ya kupenda hiyo hata heri nipende ile ya Mogadishu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lazma mulie kwenye utawala wa huyu jamaa hahah mutafurahi na roho zenu sasa imagine bado ana 7 good years vp hapo??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Utalia sana mwaka huu buda watu wamekweka over 280m usd mezani unafkiri mchezo[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
The noisy neighbours[emoji23][emoji23][emoji23], kelele tupu na hawana chochote [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Which one is that? The newest airpot we have in Kenya is Isiolo na it doesn't look like that[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan huijui hii au pia ufundishweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…