Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndio alivo huyo mzee wa iphone 7 anawenge sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ anaropoka tu bila facts
Jamani muache kumuonea
labda alimaanisha Samsung s7
hahaha
Iphone7 only in Kenya!!!!
 
Hii Turkana Niliapa sitakuja kurudi
nimoto wakuotea mbari,
Waliwahi kwenda polisi kule
kilicho wapata hawakuamini
Jamaa wana bunduki Polisi wakenya hawana,
Kule ni nchi nyingine kabisa
huwezi jua kama ni Kenya,
Kwanza Shule Mbaya, Maji Mtihani
Jamaa hutembea na Bunduki kama Simu ya mkononi!!
hakuna cha mtoto wala mwanamke
wote ni Ak47
 
Most dangerous place in the Planet is Garissa Kenya.

Ruvuma Region Tanzania. Msosi wa kumwaga. Nyie wakenya acheni kabisa.

Mtwara Region Tanzania. Kula na kusaza

Mjibambe sasa..but facts remain facts...kuwaelimisha ni kazi ngumu sana mchange facts iwa favour then mfurahi but mjue mko na kazi kubwa mcompete na Kenya.
 
Mjibambe sasa..but facts remain facts...kuwaelimisha ni kazi ngumu sana mchange facts iwa favour then mfurahi but mjue mko na kazi kubwa mcompete na Kenya.
Mbona unakuja umeufyata. Hizi taarifa nadhi zinaingia vizuri sana kwenye kichwa chako. Leta taarifa za UN sisi tunaleta taarifa halisi zinazoonekana kama zifuatazo:-
Turkana army:-

Whatever your are depicting even if it were true, then it only means Tz is far worse according to the HDI okay? Your nagging is your own karma lol
 
Whatever your are depicting even if it were true, then it only means Tz is far worse according to the HDI okay? Your nagging is your own karma lol
Sasa tuanze kwa hapa.
The following a class room in Turkana Kenya:-

Sasa tuanze kwa hapa.
The following a class room in Turkana Kenya:-

daaah eti nchi tajiri.....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kenya sio siri kwa upande wangu nawaombeeni amani ...ila iambieni serikali yenu nchi si nairobi pekee.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…