Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Mkenya yoyote duniani kwenye maneno 10 chukua moja pia ulichungue ipasavyoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
kajamaa kapo bize kukopi za ethiopia,
si hata Mount Kill wanasena ipo Kenya
oltupai goji pia ipo kwao hawa jamaa ni wezi sana

Mugabe alisema wakenya ni hodari kuhamusha vitu visivohamishikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa wamejisahau kua dunia ya leo hata mtoto wa miaka miwili humdanganyi
 
According to Ichoboy Dar is bigger than MiamiView attachment 935266

So tumehamia miami πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘ tofauti ya miami na nairobi au dar ni kwamba miami ni developed city while nairobi and dar es salaam are developing city

Ujinga mlionao nyie ni kufananisha mkia wa mbuzi na ngombe😁😁😁😁😁
 
unajua nlishaamini zile jengo za Kenya aisee πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Ndio maana nikamwambia post yake imekaa kimtego mm hawa hwanisumbui kwasababu nawajua mpaka umri gani wakifkisha hua kisu cha ngariba kisichoogopa mkojo hukata
 
You are one of the biggest fools in this forum, are you not the one mwenye kila time anatuambia area ya Dar? That's the reason I have brought Miami to show you the area, it's even smaller than Nairobi geographical wise but in terms of development it's a beast, the same way with Nairobi. Nairobi is smaller than Dar in area but far ahead in terms of development.
 
Post yako imekaa kimtego mtu asiejua hapo adis atasema hapo nairobi just look[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 935268
Sema kingereza ndo hujaelewa, ni nini inakaa kimtego hapo? I have written straight forward sentence and very easy to understand. What do you understand by the word "Nairobi's only threat" ?
 
Usifananishe miami na nairobi my friend wale wamekwisha endelea miaka na miaka hawazungumzii maji wala ajira tofautisha kati ya developing city na deleveloped city

Dar ni kubwa kuliko nairobi na addis nikimaanisha developing cities hata kwa maendeleo unaposema maendeleo inabidi useme maendeleo gani au kiswahili miji inayoendelea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sema kingereza ndo hujaelewa, ni nini inakaa kimtego hapo? I have written straight forward sentence and very easy to understand. What do you understand by the word "Nairobi's only threat" ?

Nairobis only threat to who??? Mbona hujaandika adis ababa au itajipost baadaeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ acheni ujinga
 
Before tuendele tell me the meaning of "NAIROBI'S ONLY THREAT"
 
Nairobis only threat to who??? Mbona hujaandika adis ababa au itajipost baadae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acheni ujinga
Nairobis ni nini? I have never heard of something like that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…