Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dodoma kuna bunge, majengo ya wizara kadhaa na ikulu ofcz,wanaendelea na kujenga balozi na nyumba zingine zakiutawala...wizara zote karibu zinahamia DODOMA, DODOMA sio mji mkubwa kiuchumi wala kimiundombinu bali ni maamuzi ya mda mrefu kua serikal ihamie pale sababu ni katikat ya Tz panafikika kirahisi kutoka pembe zote Za nchi
 
Hayo nj yakwako unauliza vitu vyakitoto
Ndiyo maana nilipoona unaleta utoto mwingi nikakupa stop kama hayo maswali uwaulize watoto wadogo...kila kitu nimekupa maelekezo ila mwisho wasiku chaajabu unarudiarudia maswali nakujifanya unanielekeza kwakitu ambacho nilishakutolea maelezo

Wacha utoto
 

Wasee wa kukariri,kitu mpaka aseme mzungu.wenyewe kwisha kabisa habari yenu.

Bunge liko dodoma,ikulu inafuata na muda si mrefu shughuli zote za kiserikali zitaelekezewa dodoma kama makao makuu.

Wacha majiji ya kibiashara yapate nafasi ya kufanya shughuli zake kwa uhuru.
 
You know nothing my friend, even a simple word "capital city" you can't understand.
 
Huyo akili hana eti industries....[emoji1][emoji1][emoji1] hajui kama hivyo vitu ni mipango tu yahiali yakiserikali kuamua which place like a government we can build industrial area base

Bimegundua kitu kumbe huyo jamaa ni kilaza kupindukia[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Dodoma ni CAPITAL City by name. But in real sense Dar is. Embassies mingi, Ikulu na benki kuu zote ziko Dar. Dodoma iko kwa process ya kuwa Capital City but not Yet. The parliament in Dodoma is not good enough to render it the Capital City, infact is Dodoma even a City in the first place[emoji848][emoji848][emoji848]
Wacha kuropoka Yaani wewe kweli haujui lolote kuhusu Dar na isitoshe Dar siyo capital city

Dodoma ndiyo capital city of Tz
 
Wapi hiyo bunge tuone [emoji23][emoji23][emoji23]. I need a national parliament not regional one .
 
Huyo achana naye kashazoe meaning za githeri sasa anapofikia huku pengine anapagawa na kujichanganya
 
Kisumu is the most Isolated City in Kenya. Kisumu should have developed to Mombasa standards but investors avoided it due to its reputation, but is making a come back.
Kisumu started growing after the post election violence before that it had minimal growth but now it's on steroids.
Eldoret is also growing very fast same as Nakuru.
Kisii is also another force to reckon
 
Investor decides where to put up his/her industries, the government doesn't direct them on where to put up an industry. Investor will consider the following when putting up undustries
1. Security
2.Market
3.Raw material
4. Cost of production
5.Transport ease
6.Labour
7. Space

I repeat, government does not show investors where to put their industries.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…