Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ahsante ya punda ni mateke. Baada ya hawa watu ku-donate hela za kuwazika wafu wenu nyie watanzia, hivi ndivyo mtawalipa?kuzianika picha zao kiholela huku mkiwacheka? Hamna shukran
Mimi sijawacheka bali nimehuzunika nakusikitika taifa kubwa kama kenya MLDC linakuwa linatelekeza wananchi wake kiasi hicho halafu nyie mlio mijini mnakuja hapa kujigamba ....bila yakutazama kundi kubwa la wananchi wenzenu walio nyuma yenu wanaishi vipi nakuona maisha yapo nairobi tu....

Siyo siri inasikitisha
 
Wachaga bange.......
What's a capital city??
A capital city is the municipality exercising primary status in a country, state, province, or other administrative region, usually as its seat of government. ... In some cases, a distinction is made between the official capital and the seat of government, which is in another place
 
Now tell me, what does Dodoma have in all these?
 
Did I ask you to post them?¿O pensaste que tendrías un premio como resultado? Me he dado cuenta de que ustedes son fanfarrones. Debes respetarlos y recordar siempre que estuvieron allí cuando necesitas
Ama utakana the fact that you received a donation from them?
 
These people think they are the only country in the world doing projects.....kenya is far from perfect but it has thousands of projects underway
 
Hapo sasa ndipo unajihaibisha huu ukanda wa africa mashariki kwa ujumla matatizo yoyote yanayotuface ikiwemo majanga yakitaifa huwa lazima tusaidiane Tanzania si nchi ya kwanza kutoa misaada kenya ikiwemo rambirambi na kenya si nchi ya kwanza kuchangia pesa za rambirambi kwa Tanzania

Kidogo punguza ototo maana unajichanganya sasa nimekuelewesha clear na kwa urahisi zaidi
 
These people think they are the only country in the world doing projects.....kenya is far from perfect but it has thousands of projects underway
Wanasema darislum INA Barabara nyingi kuliko Nairobi. Kwa nini wao husita kuzileta. Their interchanges and overpasses though I understand their first interchange is under construction
 
Dont ask me your qn ,,,,,u can ask yo're little child....
I'm 100% sure you don't know what a capital city is, let me enlighten you kidogo. A capital city houses the following;
1. Major government institutions i.e parliament,State House, embassies, ministry offices e.t.c
2. Economic hub of the country i.e where most businesses and industries are located
3. *The largest city in a country
4. Cultural center.


Which one does Dodoma have??
 
Oi MLDC mnaulizwa swali huko mbona hamlijibu swali lenu?...

Au umevimbilwa githeri
These people think they are the only country in the world doing projects.....kenya is far from perfect but it has thousands of projects underway
 
Ombaomba nation
 
Tunachotengeneza kitakuwa ni better n quality kuliko hizo uchafu zenu zote za hapo kenya huwa hatukurupuki nakuwa na vi interchange si kigezo chakuwa na barabara nyingi au chache
Wanasema darislum INA Barabara nyingi kuliko Nairobi. Kwa nini wao husita kuzileta. Their interchanges and overpasses though I understand their first interchange is under construction
 
No1 is Okey, sasa iyo no2 haina uhalisia wowote acha mbwembwe na porojo kwenye mambo ya msingi, sio lazima iwe economic hub of the country
Nchi yaweza kua na miji mengine yenye viwanda vingi na fedha kibao lakin capital city ikawa imejaa tu majumba ya kiserikal mabalozi nk
 
Is Dodoma a capital city ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…