actually, the reverse is trueUkiwa Kenya kila siku utasikia habari za Tanzania chochote kinachofanyika Tanzania wanafuatilia, chochote anachofanya magufuli wanafuatilia kwa karibu sana, video na hotuba za Magufuli wanasikiliza sana, lakini ukiwa Tanzania ni mara chache sana kusikia habari za Kenya au za uhuru Kenyatta, habari za Uganda ,Rwanda au nchi zingine za EAC huwa ni vigumu kuzisikia Kenya ,wao wana deal na Tanzania siku zote, hapo ndo utajua kuwa Tanzania ni Taifa lililo komaa, na halinaga muda na kufuatilia nchi zingine.
Finish that, we also finish changamwe interchange and mombasa kwa jomvu expressway in kenya plus Dongo Kundu Bypass phase 2 and 3 under construction and lets see between Mombasa and Dar es Salaam which has the best roads
Upcoming changamwe interchange and mombasa kwa jomvu expressway
View attachment 928571View attachment 928572View attachment 928574View attachment 928575View attachment 928576
Nimeona agosti ulikuwa humu.
Halafu vidume vitatu vya bongo vinatandikwa na mwanaume wa kikenya kama vitoto vichanga.mwanamke wa Kenya anaweza chapa vingapi hivi?tafakari
Hujabadilika. Yale matusi ya vijiweni umeyajaza kwa akili. S.o.Y
Nilikuwa namjibu mwenzako. Acha kuingililia mambo yasiyokuhusu ndewe wala sikio[emoji1][emoji1] umeishiwa hoja,,,,naona umeamua kuwa comedy
Mimi ni binadamu badoJe wewe umebadilika...?..
Nilikuwa namjibu mwenzako. Acha kuingililia mambo yasiyokuhusu ndewe wala sikio
Mimi ni binadamu bado
There are thousands and thousands of projects going on that we don't need to shout about themThey think Kenya is stand still.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ile mbio kenya inadevelop sio ya LDC.
There are thousands and thousands of projects going on that we don't need to shout about them
Leta 5 star Hotel za Kisumu tuoneYour overrated trophy city with one mall and Cattle dip airport.......the only notable thing is the East Africa community facilities.....
Walifika India as wanaelekea China
Akikuletea tu nitagππππLeta 5 star Hotel za Kisumu tuone
What is an interchange to you!??ππKwa akili yako hio ni interchange hvi unajua maana ya interchange wewe????ππππππππ
Kwa standards za kenya hii ni interchange kweli wanjalaππππππWhat is an interchange to you!??ππ
Kwenye maisha yako ukiskia interchange basi ni hii hapaπππππππWhat is an interchange to you!??ππ