Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Avocados zenyewe mtalangua Tz sasa tumeshawagundua iyo biashara itaanza kua ngumu muda sio mrefu
mbona ishaanza kua ngumu ujue magu kawa tyt hawa jamaa ndio maana hawana hamu nae😂😂😂😂😂
 
mbona ishaanza kua ngumu ujue magu kawa tyt hawa jamaa ndio maana hawana hamu nae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Avocado inahela sana hakuna kuwauzia tutapeleka wenyewe mbele. ..chache zakula hatutawanyima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…