Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ulijua wanalipa kwa 30 yrs fala kweli wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] soma vzr maelezo nyumba zote za oyesterbay ni nyumba kubwa kubwa hakuna nyumba yakifala
A wapi...hyo watu wanaipanga km guest tu....
 
Ukifika $3.5m rudi ndio tujadili vizuri....wacha kw bei za nyumba..hta viwanja msa ni balaa
kwa kwa kwa jipe matumaini hvo hvoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ ndio maana huyu mtu kaweza kuchukua robo ya kenya kwasababu ya ujinga wenuπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
sheria za ardhi kwenu ndizo zinawafanya 2.5 million waiishi kibera
 
Hhhhh!!!leta nyumba ya $3.5m...hv wafkria kwnn mombasa ime kuwa ranked mbele ya dar katika hii sekta..huku cape town ikiongoza...utajua haujui wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…