Hiyo ni sehemu yakukagua magari yanayoingea JKIA. Kutokana na ugahidi ilibidi wajenge checking ya magari. Ndo hii unayoona.ππππhebu tel me is this terminal 2πππππππππππππππ
View attachment 910052
kiingereza kigumu...16-lane screening- do your researchmwenzio kasema terminal 2 au alikua anajifurahishaππππππππ
16 lanes ndio inajengwa hviπ±π±π±π±π±π±π±π±
View attachment 910214
Hutaki kuamini kwamba bakhresa billionaire namba E.A ni mtanzania pure,isitoshe,kwa kufuatilia posts zako inawezekana wewe ukawa mkenya unaeshika namba moja kwa ukilaza!A Tanzanian registered citizen of Indian Origin lol.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] #Dual citizens.
Eti pure....hhhhhhh!!!huyu jamaa mjinga sana kumbe....hata mimi pia naeza chukua uraia amerikaHutaki kuamini kwamba bakhresa billionaire namba E.A ni mtanzania pure,isitoshe,kwa kufuatilia posts zako inawezekana wewe ukawa mkenya unaeshika namba moja kwa ukilaza!
πππππππππππ2% unemployment rate...55% poor Tanzanian s..hhhh
Unaionaje hyoo..yani 30ml people..
i dont see 16 lanes there naona kama 7 tuππππππkiingereza kigumu...16-lane screening- do your research
Hhhhh!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
lakini sio 16 lanes asitudanganye hapaππππππHiyo ni sehemu yakukagua magari yanayoingea JKIA. Kutokana na ugahidi ilibidi wajenge checking ya magari. Ndo hii unayoona.ππππ
Bora ya kwetu can be compared with mabati.
What is riberation ela?
ππππππtiba iko pale paleHhhhh!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeingia kumi na nane leo..[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hata naomba kifike haraka. Nina wasiwasi mwingi sanaKipindi chako cha kushika mimba.
π€£π€£π€£ kazitoa wapi 16 laneslakini sio 16 lanes asitudanganye hapaππππππ
πππππππππππππHhhhh!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeingia kumi na nane leo..[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Leta leta....baba,ila ujue hutoki...naona maneno yamekuishia...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382]tiba iko pale pale
nimemwambia akizipata 16lanes aje hapa tuendelee πππππππ€£π€£π€£ kazitoa wapi 16 lanesView attachment 910236
2% unemployment na bado mko ldc na kw umaskini mnaongoza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
46% watu hawana kazi alafu unakuja kufungua mdomo wako MLDC
ππππππππππππLeta leta....baba,ila ujue hutoki...naona maneno yamekuishia...
Vp za turkana..mbna sizioni...changanya zote ulete...
Ila ujuwe kw umaskiniumetuzidi...pinga ule za uso
Dogo hakikisha unajua unachokiposti,sisi wabongo sio mazuzu kama hao wakenya wenzako,sawa??...said salim bakhresa ni mzaliwa wa zanzibar,kwa hiyo ni mtanzania pure kabisa,kama ilivyo kwa mo dewji,tajiri mwenye umri mdogo Africa,kazaliwa singida,Tanzania,kama ilivyo kwa wazazi wake ni wenyeji wa singida,Tanzania!!..Eti pure....hhhhhhh!!!huyu jamaa mjinga sana kumbe....hata mimi pia naeza chukua uraia amerika
mm nataka kwenda kariobangi sehemu ambayo dirisha la mtu ndio choo cha mwenzakosisalboy.your obsession with kibera has become too much. Njoo kibera Kenya .