saidia wenzako kutafuta jibu maana majibu ya maths yaliwatoa makamasi jaribu na hilo la uchumi basiπππππ,
,.
mutalipa na pesa iko wapi au mutawalipa mawe ikiwa wafanyabiashara wana borrow money to pay taxπππππ and gvt borrow money to pay debtπππSaw a.madeni ya China lazima tulipe. We are not too poor to be forgiven. Smh
ππππππππππJichoboy, huwa unaona na nini? Na kupumua?
umepaniki??saidia wenzako kutafuta jibu maana majibu ya maths yaliwatoa makamasi jaribu na hilo la uchumi basiπππππ
ahahaahha unaogopa kujikaanga πππππ budaaumepaniki??
πππππAm coming for gold and diamond. You are too lazy to exhaust your resources. Deni la mchina lazima nilitafute. I feel for the next generation.
mererani tumeshazungusha ukuta 25 kilometers na tushaweka high tech security with military 24/7 wanaoruhusiwa ni wachimbaji 2000 watanzania tuππππππ karibu sana come one come allπππππAm coming for gold and diamond. You are too lazy to exhaust your resources. Deni la mchina lazima nilitafute. I feel for the next generation.
Tanzania iko na watu 60million na gdp ya $49billion so inastahili kuwa hapo.angola ina 120b usd ina watu 23million imekuaje iko hapo???????
Tanzanite inaporwa kwa mikataba si eti watu wanakuja na magunia na kuzitia ndani watoroke nazo....ukuta ulikuwa tu njia ya kushibisha watu kadhaa lakini kwa ujinga wa watanganyika ikawa ni njia ya kuwazubaisha.mererani tumeshazungusha ukuta 25 kilometers na tushaweka high tech security with military 24/7 wanaoruhusiwa ni wachimbaji 2000 watanzania tuππππππ karibu sana come one come all
View attachment 909226
tanzania ina watu 53 million ina GDP ya over 55b usd kenya ina watu 47 million angola ina watu 23million ina gdp ya 120b lakini iko LDC so why????πππππππππππππππTanzania iko na watu 60million na gdp ya $49billion so inastahili kuwa hapo.
hakuna mkataba budaa mambo yashabadilika sana hehe acacia sasa hvi anapumulia mirija ya mkojoπππππ ukuta umezungushwa ili serekali isipoteze mapato yake na kodi zake na pia rasimali za nchi ziwafaidishe wazawa tu so far wanaoruhusiwa kuingia ndan ya mererani ni watanzania wenye vitambulisho na huku wanajeshi wapo pale 24/7 wakiwasubiri watu kama weweTanzanite inaporwa kwa mikataba si eti watu wanakuja na magunia na kuzitia ndani watoroke nazo....ukuta ulikuwa tu njia ya kushibisha watu kadhaa lakini kwa ujinga wa watanganyika ikawa ni njia ya kuwazubaisha.
ukija uje na official link 2018 maneno ya porojo peleka ukavutie bangi za chooniπππππJichoboy this is what am talking about. Acha kujitia hamnazo.
Dola moja ni shillingi ngapi za kitz?
There are so many wabongo living under $0.5 a day
hilo ndilo swali niliokua nasubiria jibu 120b usd population 23million so waambie ndugu zako mukipata majibu munitagππππππππHey jichoboy wanna know why Angola is an LDC despite it's high GDP?
Weka evidence ya over $55b alafu unitag walahi nahama JF.tanzania ina watu 53 million ina GDP ya over 55b usd kenya ina watu 47 million angola ina watu 23million ina gdp ya 120b lakini iko LDC so why????πππππππππππππππ
Weka evidence ya over $55b alafu unitag walahi nahama JF.
ok subiri nikutaftie budaaππππππWeka evidence ya over $55b alafu unitag walahi nahama JF.
binti mrembo tuliza kichwa maisha yakiwa magumu usisumbue ubongo wakoπππππ mwanamke ana njia nyingi za kutoka kimaishaJibu gani ichoboy? Go study about HDI and GNI then come we talk.
My pleasureLet's please alafu unitag
tuna beach nzur sana ila bado hatuna code ya mavaz ya beach..Coco Beach (Community Beach)
Hivi ndivyo ilivyo dar es salaam kwa sasa
View attachment 455946View attachment 455947View attachment 455948View attachment 455949View attachment 455950View attachment 455951View attachment 455952
parameters za nini??? hebu tuweke wazi hapa heheh kumbe its not GDP sasa ni nini????πππππBy the way jichoboy which parameters are used to determine whether a country is developed or not coz am sure it's not GDP only. Kuna vigezo vingine kama elimu,afya na kadhalika