Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar slum ukiondoa bahari [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]=westy
 
Hahahahaha,naona wakenya wanatumia nguvu nyingi kuleta NAISLUM NA MOMBASA ZIPAMBANE NA THE MIGHT DAR ES SALAAM!?? viva DAR
 
Naona kwenye hii battle ni Dar es salaam vs nairobi+mombasa........Hahahahahahahahahaha
 
Nairobi hakuna wasafirisha mikaa.. Nairobi nzima mnatumia gas sio
Lakini huyo jamaa anafanana na hiyo makaa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…