Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha akuje kupost ujinga kama kitoto hapa ..halafu hadi mtanzania mwenzake akimkosoa anamtusi ..useless
Hapa tupo kwenye battle. Huwezi kutushauri cha kupost. Wewe leta unavyoona vinaisafisha Kenya.
 
Hapa tupo kwenye battle. Huwezi kutushauri cha kupost. Wewe leta unavyoona vinaisafisha Kenya.
Hivi sijasema msipost bad things about Nai ...huyu kadoda anapost the same thing screenshot everyday ..niambie hiyo si kuahribu thread !!na hivi unamptetea ..umekua bibi yake ...Sipendi ujinga ...wacha uone akileta matishio hapa na utoto akilini huyu kadoda ..
 
Ukiona inakuboa ujue dawa imeanza kukuingia na ugonjwa wako utapona. Na baadaye utakuwa mstaarabu.
 
ebwana eeeh kadoda utauwa watu humu aisee ona mkali ulivyomkera mpaka anatamani akudunge sindano ya usingizi ulale [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
kuna thread wameiweka wakenya inaitwa nairobi vs dar es salaam naona mkali wetu kwanza anatuwakilisha wapo patamu yaani jengo to jengo akienda mmoja kujazia anawamaliza wakenya maana kidogo pale wanajifariji
Thread mpya au
 
Kadoda ..you claim to have been here for a long time right? Mbona maturity bado kukuingia akili !!!

Kila wakati kupost shit ..ujinga kujiaibisha na hata haya huna ..leo nimechoka na huu upumbavu wako ...

Wacha akuje kupost ujinga kama kitoto hapa ..halafu hadi mtanzania mwenzake akimkosoa anamtusi ..useless

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukiona inakuboa ujue dawa imeanza kukuingia na ugonjwa wako utapona. Na baadaye utakuwa mstaarabu.
huwa nafurahi sana nikiona wakenya wananijadili,hawajui ni jinsi gani nafurahi.wananifanya nakuwa maarufu kuzidi hata Eric omondi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ebwana eeeh kadoda utauwa watu humu aisee ona mkali ulivyomkera mpaka anatamani akudunge sindano ya usingizi ulale [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
pamoja sana mdau.hawa ni kuwanyosha tu.usiwape nafasi ya kujibishana nao.

nikuwajazia ma-screenshot ya jiji lao ili wapandishe hasira.
 
Homeland Kasarani Nairobi

Kasarani Indoor Arena

Roysambu Nairobi

Garden city is the place to be, best in all spheres!! Shop, relax, play, drink, eat, enjoy free internet wherever you are not forgetting IMAX the ultimate leader in cinemas, with 7D, you can ask for more

Beautiful roads. Is that road in an African country for real?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…