Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

naliamsha dude:
kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.

asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la kikuyu.

that being said,i present to you a sample of random photos that show private houses owned by the common citizens of dar es salaam.
 
IKIFIKA SECTOR YA ESTATES MNAISHIWA MNAAMUA KULETA KIBERA😀😀😀 AS ALWAYS

FOURWAYS JUNCTION

hawa jamaa wameona wanashindwa wakaona waamie kwenye mansions 😀😀😀😀😀 hivi kuna nchi dunia hii isio na mansions, duh kubalini kuwa mpo nyuma tu maana tukiweka estates za TZ na mansions za kitz mtakimbia
 
Send the Mansions here Arent they part of devt..U cant beat Nai in anything
 
Inferiotity Complex Fvcking u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…