Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe tuondolee hizi glass tatu hapa. Sisi tushafika 40 floors.
 
pesa ya kuwalisha wafungwa pia hakuna sasa hio budget iko wapi😂😂😂👇👇👇
 
kushindana na tanzania ni sawa na kukimbiza upepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]

ROVOS rail ni ya kisasa sana safari yake huanzia cape town na mwisho wake hua Dar es salaam...jamaa wanasafiri hadi siku 15 njiani kufika Dar na hufaidi sana mbuga kadhaa za hapa nyumbani na za nchi wanakopita
Wanapitia Botswana, zim, Zambia pale wanaunga na tazara hadi Dsm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na lengo lao ni kuja kwenye mbuga za tanzania na kwenda zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…