Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Make sure your English is perfect before trying to mock somebody else.
No English is perfect sir!...we learn on a daily basis,English lingual is a complete circle without head or tail and new vocals and tenses are made per second across the globe, for example an English man from wales speaks to you in English the probability of your understanding is usually 1/6 the same application is on American English which is watered down and sliced for a better understanding....so my friend my English is not perfect but that is my only my way of communicating if it pains you or piss you off..please halla me and i will understand.
 
Your few comments (I quoted) suggest otherwise. Anyway we are on the same boat.
 

acha nikuelimisha kidogo.
malawi karibia raia wake wote wanaweza kuzungumza na kuandika kingereza kwa ufasaha pengine kuzidi hata wakenya.

lakini cha ajabu malawi ni moja ya taifa masikini sana duniani licha ya watu wake kuzungumza kingereza.
hapo ndio utajua kingereza ni lugha tu na sio kitu cha kuringia mbele za watu.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]


mfano mwingine ni hapo kenya, licha ya kwamba baadhi yenu mnajua kingereza lakini vijana wengi hamna kazi,ni majobless.hiyo ni ishara kwamba kingereza hakijaweza kuwasaidia.


NB: sio kweli kwamba wakenya hamuwezi kuzungumza au kuandika kiswahil, mnajua ila mpo kwenye denial kwasababu kiswahil chenu hakivutii. ni kabiya kukisikiliza.
 
mkenya popote pale ni rahisi sana kumjua,mnafafa na wapopo(wanigeria),mnashindwa kutofautisha kujiamini na kiherehere,mushene.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…