Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kisha na wewe pia unaiamini hio list?
kuna sehemu nyingi sio slums kw hio list, pia kumetatajwa ambazo haziko Nairobi. usiamini kile ambacho unachoambiwa. mwenzenu alikuwa Nairobi last week na hakuamini macho yake jinsi Nyerere alivopigwa na butwaa miaka ya nyuma, akaifananisha Nairobi na London.
 
Ilikua zaman sana ,kwa picha za sasa hapana sijaona kitu cha kushtua maybe labda kwa vile nmeishi town sana..
Mnajitahidi sana kwenye planning Ila mnalack nyumba za kueleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alii-edit mwenyewe baada ya kumu-expose. hata hio screenshot yenyewe, jaribu kusoma sentensi ya kwanza
labda na mimi nikwambie tu, hatujawahi kusema nairobi ni jiji baya, la hasha. nairobi ni jiji zuri tu, ila linamapungufu kama yalivyo majiji mengine duniani.

shida yenu mnataka kuifanya nairobi kama peponi wakati ukipita pembezoni mwa barabara/mtaa wa river road, unaona vinyesi vya banadamu vimengandiana.

msimamo wangu kuhusu nairobi hauna tofauti na maneno ya tuusan hapa chini.

 
Shoga mwenyewe huyu hapa😂😂
 
you know nothing 'bout economics..!so you better shut up!
I was not talking about economics,i think that is exchange rates which even a class four pupil in Kenya will tell you about,you on the other hand have to know the definition of economics which In its most simple and concise definition, is the study of how society uses its limited resources. Economics is a social science that deals with the production, distribution, and consumption of goods and service!.....why on earth would i ask a person of your caliber about economics?....you cannot even wipe your ass and you are still wetting your bed and here you are yanking about things that is above your thinking grade..idiot!
 
is that only you know about economics???but you have tried!!..again,you know less about economics
i just wanted to know the school you went..
 
With all due respect sir i think you are lying but it is good for you,otherwise whatever you are consuming or smoking is either illegal or a banned substance that is making you hallucinate!...your presence here if at all happened was as a results of escaping poverty in your country i am also convinced that you are retarded and among the beggars that were deported from Kenya hence the hate and the attitude only found in people harboring a grudge...my friend you can make it in your country,work hard and try to make end meet, but first get circumcised and try to get yourself a wife because the bible says whoever findeth a wife find a good thing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…