Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hata wewe pia mara nyingi ushawai kuikana dar mara kadhaa ila kwa kuhofia kushambuliwa na wenzako, ukaamua kujitia hamnazo. tizama mwenzako hapa chini >>>
Sikia kijana,Nbo ni mji mzuri,baada ya kuuchambua tumeona madhaifu mengi sana ambayo hatukuyafaham kabla,naweza kusema Dar kuko more advanced kwani maskini wa dar haishi kwenye mabanda ya bati kama hapo Nbo, maskini wa kikenya ni maskini kwelikweli...Dar inakua kwa speed kali siwez kusema Nbo ni best kwa kuangalia factor zote
Miji pekee ambao naweza kukubali bila kuzungusha inatuzidi ni ya S.A. Kwa vitu vingi sana lakini sio Nbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio kawaida yao hio. wakija kwenye hii thread huwa wanajifanya wamevuta bange kidogo na kuchanganya na ugoro.... ila zidi kuwapa za uso

huko kwenu ushoga umeshakuwa jambo la kawaida, sishangai kuona wakenya mkimuunga mkono huyo kilaza shoga.
they say birds of the same feather flock together.

we haven't forgotten this incident that took place in kenya earlier this year.
[emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
spot on bro. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Tanzanians not only read about slums situation in kenya, but most of us have been to those rat infested Kibera slums. In addition, the report about slums in kenya came from the reliable source of news which was the Financial Times of UK and not your Kenya magazines for you are ashamed to report it. Lol.
Besides, the ft are not bigamites idlers from the land of the lazy like the Kenya media. So do your research before vomiting your stupidity!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi mnaishi wapi? post your neighbourhoods
 
Sikia kijana,Nbo ni mji mzuri
For Sure!

madhaifu gani hayo yapo Nairobi, dar hakuna. slums in Nairobi ni 5% pekee, ukilinganisha na dar, 92%.
hapa sijaona battle ya maana zaidi ya battle ya Kibera v/s dar nzima.
zidi kujipa matumaini

btw, Nairobi Metro ni 32,000kmsq
 
hata wewe pia mara nyingi ushawai kuikana dar mara kadhaa ila kwa kuhofia kushambuliwa na wenzako, ukaamua kujitia hamnazo. tizama mwenzako hapa chini >>>

naona umamua ku edit post ya mkorinto na kuiwekea maneno yako.

alichokiandika hiki hapa[emoji116][emoji116][emoji116]

kama utapata shida kuelewa kiswahili, niite nije nikutafsirie kwa kingereza.
 
Earlier this year si Early this year. Lemme correct your arse. Lakini sexual orientation ni something personal man. That is their life na kama they are happy with it, let them
 
you know nothing 'bout economics..!so you better shut up!
 
For Sure!


madhaifu gani hayo yapo Nairobi, dar hakuna. slums in Nairobi ni 5% pekee, ukilinganisha na dar, 92%.
hapa sijaona battle ya maana zaidi ya battle ya Kibera v/s dar nzima.
zidi kujipa matumaini

btw, Nairobi Metro ni 32,000kmsq
Hapana Nbo sehemu za ovyo ni nyingi sana
Kuna list hua inatumwa hapa mara kadhaa usijifanye umeisahau
Kibera, mathare,kariobangi nk
Sasa Dar sehemu za uswahilini ulikolea ni tandale,manzese,mwananyamala, mbagala ,kigogo Na maeneo ya mbagala...Yaani haya yote kwa ujumla wake bado hayajafikia hata robo ya uchafu wa slums zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Earlier this year si Early this year. Lemme correct your arse. Lakini sexual orientation ni something personal man. That is their life na kama they are happy with it, let them
ujumbe "umekuingia"... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
oya sio mtz huyo ni mmombasa . !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…