Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu kwanza tuwekee hizo dream house i hope uko na pics za huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar es salaam downtown through Ally Hassani Mwinyi Road.
 
unajua usipende kushuhudia uwongo ni dhambi kubwa sana,usijione wewe pekee ndo umetembea sehemu zote,hii ni mentality mbaya sana mko nayo wakenya mnadhani dunia inazungukia tu hapo nairobi!!mimi mwenyewe nimezunguka majiji yote ya afrika mashariki,nimetembea nairobi japokuwa sikuja kuangalia madhaifu lakini yanaonekana wazi kabisa,ni mchafu,hakuna mifumo mizuri ya usafiri,barabara mbovu hadi cbd,miji yoote ya afrika mashariki ina madhaifu kibao lakini kwa dar na nairobi,dar ina unafuu (najua huwezi kukubali,lakini ndo ukweli)
unasema dar iko nyuma ya nairobi kwa beach resorts??? stop jokin...!!hatred kills!
 
Hakuna mtu yeyote ashawahii sema Kenya ama Nairobi iko perfect.

Nairobi haina beach hence haiwezi kua na beach resort. Beach resorts za Dar ni chache sana ukilinganisha na malindi, watamu, diani na hata Mombasa. Nasema hivi kwasababu nimetembea kwote.

Niambie niwapi Dar sijafika?

Kwa mifumo ya usafiri ndani ya dar ndio usionge kabisa? Dala dala mmejaza watu kama magunia hata hawapumui.. Brt inabeba aslimia ndogo sana ya wenyeji wa Dar.

Tuma picha za eneo ulizo fika Nairobi na uwache porojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…