Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana, ndo mana kweny ishu ya mabus na stands za mabas wamenywea
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ imeshindwa kisumu sasa analeta kericho sijui upuuzi gani
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚leo nimecheka sana alikuja mwenzio na kisumu yake akasanda mbele ya arusha leo mkenya anakuja na upuuzi unaitwa kericho nimecheka sana😝😝
 
ajitokeze mkenya yoyote alete 10 counties za kenya anazoziamini na sisi tulete zakwetu 10 alaf tuingie mzigoni leo hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
ajitokeze mkenya yoyote alete 10 counties za kenya anazoziamini na sisi tulete zakwetu 10 alaf tuingie mzigoni leo hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
hamjaona msg yangu auπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
nakukubali sana chuma magufuli hongera sanaπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…