Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeona walivo wajanja wameona wanaanza kuzidiwa ona wanjala anachoFanya hahhahahhahahhahahahahha munahaha dahhhhh
 
It's not among. Its a biggest housing project in East and Central Africa
 
Hivi Tukichukua huu mnara

Kisha tukaweka juu ya Jengo hili

Hatuwezi kuwa na mita 600m!!?[emoji23] [emoji23]
80% Ya majengo ya Nairobi vituko
yaani Jengo lina Fl 26 lakini lina 200m !!!
 
kama hujaelewa io picha basi una mtindio wa ubongo
 
You have very few people in twitter.....and the few don't know to use it so u go to Kenyan trends instead I pity u
 
kama saa hii ndio mumeanza basi ndugu yangu kazi ipo. sis ivi vitu tulivianza miaka ya 70's.
kumaanisha nyinyi muko na miaka 50 nyuma. Amkeni Bongolalans Amkeni.
Miaka 10 tu tumejenga nchi munalia hvi hahhahahhahahhahahahahha kazi ipo utapoa tu walikuwepo nunda zaidi yako wamekimbia hahahhaahaa
 
Umeona walivo wajanja wameona wanaanza kuzidiwa ona wanjala anachoFanya hahhahahhahahhahahahahha munahaha dahhhhh
tuseme ukweli hamjatuzidi...hass ni mbli,avic ni sita,montave ni mbili...mmezidi izo kweli...bado..leta picha kijana
 
Tunaendelea tulieni basi mbona mlivopost zenu tume tulia sana tu kueni wapole na sisi tuendelee hahhaaaahaha
 

izi vitu za 20, 22floors ndio nini? nyi munafaa kushindana na Mombasa. Nairobi epukeni nayo kabisa. chukua 22floors, unganisha mara tatu juu na bado haufiki Hass Towers @ 67floors
 
tuseme ukweli hamjatuzidi...hass ni mbli,avic ni sita,montave ni mbili...mmezidi izo kweli...bado..leta picha kijana
Tulia basi mbona wewe umeeka tulikua kimya tulia basi baba hahhahahhahahhahahahahha kua mpole tuendelee
 
izi vitu za 20, 22floors ndio nini? nyi munafaa kushindana na Mombasa. Nairobi epukeni nayo kabisa. chukua 22floors, unganisha mara tatu juu na bado haufiki Hass Towers @ 67floors
Hahahahahah jamaa hawezi kutulia hahahahahah sisubiri tumalize kupost mbona sisi tulitulia mkapost zenu
 
Tulia basi mbona wewe umeeka tulikua kimya tulia basi baba hahhahahhahahhahahahahha kua mpole tuendelee
nko kimya naangalia but usiseme mmetuzidi coz bado sana.....nimepost miradi kibao sana
 
izi vitu za 20, 22floors ndio nini? nyi munafaa kushindana na Mombasa. Nairobi epukeni nayo kabisa. chukua 22floors, unganisha mara tatu juu na bado haufiki Hass Towers @ 67floors
Unaugua akili ww pimbi, huwez kuelewa maana ya ongoing projects pita kimya...kama hujala kale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…