Ukimsikiliza uyu kibwengo unaweza sema anahata kiwanda cha kukoboa mahindi [emoji23] [emoji23]
Hii ni high density area wala sio slum. Mitaa mbona inaonekana clear tu?Another one ๐๐๐View attachment 824169
Hii ni high density area wala sio slum. Mitaa mbona inaonekana clear tu?
๐๐๐๐ฑ๐ฑzoom and show me where is slum heheh๐๐๐๐๐ munaona wazungu wajinga sana kua hawajui๐๐๐๐
google earth hio๐ ๐ ๐ ๐๐
View attachment 824178
So hizo ni bungalows ? ๐๐๐Hii ni high density area wala sio slum. Mitaa mbona inaonekana clear tu?
List top ten ya miji ya Kenya nasi TZ tutoe yetu tucompee hapa
Hapa ni Magomeni. Magomeni ni mji w zamani una mitaa imenyooka wala sio slum. Tatizo lako ukiona nyumba ziko karibu karibu unaita slum. Hio hi high density area. Kwenye hio picha kuna mtaa wa Idrisa ambao ni 4-lane street na mitaa mingi ina-cut across BRTMiddle class Tanzanian dream surburbs.[emoji23] [emoji23] View attachment 824143
hawajui maana ya slum๐๐๐๐Hii ni high density area wala sio slum. Mitaa mbona inaonekana clear tu?
Is it hard to list your 10 best cities??Hebu leta cbd ya Mbeya tukuaibishe hapa. Do you brats know what a city is??
google earth๐๐๐๐๐๐
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ati high density area!!!bro unachekesha....sawa..do hivi...niambie difference ya slum na high density area??Hapa ni Magomeni. Magomeni ni mji w zamani una mitaa imenyooka wala sio slum. Tatizo lako ukiona nyumba ziko karibu karibu unaita slum. Hio hi high density area. Kwenye hio picha kuna mtaa wa Idrisa ambao ni 4-lane street na mitaa mingi ina-cut across BRT
Unaishi side gani huku, left ama right ๐๐๐๐View attachment 824175
hawawezi kukujibu washajua kibano kiko wapi๐๐๐๐๐๐Is it hard to list your 10 best cities??
Wewe unaona ni magorofa hayo? Ungeshuka chini uone hizo nyumba ndio ungeelewa nazungumzia nini. Ngoja nikwambie Magomeni,Ilala,Kinondoni,Temeke ni uswahili ila ni miji iliojengwa na wakoloni, nyumba zote hadi 1990s zilikuwa zinafanana mmiliki akiwa NHC baadae zikauzwa kwa watu ndio wanazibadili taratibu hadi sasa hivi unakuta chache ndio ziko vile vile. Kwa taarifa yako maeneo hayo niliyokutajia hakuna slum kumepangwa ila hizo nyumba ziko karibu karibu kama mita 3-5 kutoka nyumba hadi nyumba na hazikuwa na fence enzi hizo.So hizo ni bungalows ? ๐๐๐
hawajui maana ya slum๐๐๐๐
Hahaha ona huyu mjinga๐๐๐, who told you bungalows are only high rise. I know you are talking of flats but me I'm talking of bungalows.Wewe unaona ni magorofa hayo? Ungeshuka chini uone hizo nyumba ndio ungeelewa nazungumzia nini. Ngoja nikwambie Magomeni,Ilala,Kinondoni,Temeke ni uswahili ila ni miji iliojengwa na wakoloni, nyumba zote hadi 1990s zilikuwa zinafanana mmiliki akiwa NHC baadae zikauzwa kwa watu ndio wanazibadili taratibu hadi sasa hivi unakuta chache ndio ziko vile vile. Kwa taarifa yako maeneo hayo niliyokutajia hakuna slum kumepangwa ila hizo nyumba ziko karibu karibu kama mita 3-5 kutoka nyumba hadi nyumba na hazikuwa na fence enzi hizo.
Are u serious? Kwenye nikupe mfano, kwenye sq km moja O'bay kunaweza kuwa na nyumba 50(mfano)zilizopangwa, wakati sq km moja magomeni inaweza kuwa na nyumba 200 zilizopangwa. Slum refer Kibera.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ati high density area!!!bro unachekesha....sawa..do hivi...niambie difference ya slum na high density area??
Wewe ni taahira kabisa. Nimekurudishia wewe hilo swali.Hahaha ona huyu mjinga๐๐๐, who told you bungalows are only high rise. I know you are talking of flats but me I'm talking of bungalows.
Excuse kama kawa ๐๐๐, hata mshutuliwe usiku mkidoz hamtakosa excuse๐๐๐Wewe unaona ni magorofa hayo? Ungeshuka chini uone hizo nyumba ndio ungeelewa nazungumzia nini. Ngoja nikwambie Magomeni,Ilala,Kinondoni,Temeke ni uswahili ila ni miji iliojengwa na wakoloni, nyumba zote hadi 1990s zilikuwa zinafanana mmiliki akiwa NHC baadae zikauzwa kwa watu ndio wanazibadili taratibu hadi sasa hivi unakuta chache ndio ziko vile vile. Kwa taarifa yako maeneo hayo niliyokutajia hakuna slum kumepangwa ila hizo nyumba ziko karibu karibu kama mita 3-5 kutoka nyumba hadi nyumba na hazikuwa na fence enzi hizo.
Soma hapa kakaAre u serious? Kwenye nikupe mfano, kwenye sq km moja O'bay kunaweza kuwa na nyumba 50(mfano)zilizopangwa, wakati sq km moja magomeni inaweza kuwa na nyumba 200 zilizopangwa. Slum refer Kibera.
Naona unarukaruka tu.Soma hapa kakaView attachment 824194