endelea kujipa matumaini hvo hvo😀😀mulieka mnara mlijua hamutoboi ndio maana mukaona kupachika mnara hehehhehehe😀😛Hata bado tukitoa Britam bado UAP hamfikii na kwanza tumezoea wimbo zenyu aty mara ohh floors tukawapa jibu=avic, ohh minara...jubu=UAP, Ohh one tower tunawapa hivi karibuni=Pinnacle, mara ohh density...tunawapa Business district tatu plus kufungua Metropolitan mzima ya Nairobi, Ohh Slums tunademolish Kibera na kuwapa bypass super highway + real estate!, Ohh BRT we give you a maga Express way, which is good mnatufanya tuendelee kuweka pace which is our job as the EAC superpower! Mseme mnacho taka tuwawekee Hapa EAC[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
hehhehe pinnacle walishaikatia tamaa😀😀tuna tuna tuna tuna tuna.endelea kusubiri pinnacle.
Ng'ama oloyi oloyibado Kenya tu.....ldc Tanzania living in denial won't help......mtu amekushinda amekushinda
I said we ni mpuuzi naunazidi kudhihirisha ,so since when our GDP is $33bln? This is 2018 so from a credible source show me how can you prove that?Thats a fact not a complement my friend! Unless you prove otherwise.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Obviously, Kenya's economy is much bigger. To give you a rough estimate of the economic gap between the two countries:
Kenya's total GDP is estimated at $56 billion. Of this, 65%, or about $36 billion, is from, in and around Nairobi.
Tanzania's total GDP is $33 billion.
Nairobi alone, therefore, has a larger GDP than all of Tanzania.View attachment 817094
Wakenya...!!! mmmhThats a fact not a complement my friend! Unless you prove otherwise.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Obviously, Kenya's economy is much bigger. To give you a rough estimate of the economic gap between the two countries:
Kenya's total GDP is estimated at $56 billion. Of this, 65%, or about $36 billion, is from, in and around Nairobi.
Tanzania's total GDP is $33 billion.
Nairobi alone, therefore, has a larger GDP than all of Tanzania.View attachment 817094
wao wanadhani ni sifa,bila kujua tunawashangaa.Wakenya...!!! mmmh
aki nyie watu kwa majivuno hamjambo, yaan the way mko na misifa mtafikiri mko dunia ya kwanza huko yaan mnaona mko level moja na akina developed nations
Nyie masikini tuu kama sisi, tena hohehahe dhofu li hali mnakufa na njaa kila uchwao halafu mnakuja kuimba hapa GDP GDP GDP!!!
shenzii kbsaa...
inawezekana kabisa jamaa wamebadilisha project pale pale site😀😀😀hehhehe pinnacle walishaikatia tamaa😀😀
Kwa hivyo imewadia wakati wa kufunga huu mjadala ONCE AND FOR ALLwao wanadhani ni sifa,bila kujua tunawashangaa.
kuna mmoja nilimuuliza hapa hivi GDP YA $80bl nayo ni ya kutamba nayo kwa kelele,ilhali ndugu zetu nigeria na SA wana 300>na hawaongei sababu wanajua wanaongoza katika nchi masikini.
hehehhehe😀😀😀 hawa kwa renders tu hawajamboinawezekana kabisa jamaa wamebadilisha project pale pale site😀😀😀
Ndo cha ajabu wanatamba na GDP ya $70+B wakat sie TZ we've $56B tofauti ya $15+B nothing new... its not such a big dfcwao wanadhani ni sifa,bila kujua tunawashangaa.
kuna mmoja nilimuuliza hapa hivi GDP YA $80bl nayo ni ya kutamba nayo kwa kelele,ilhali ndugu zetu nigeria na SA wana 300>na hawaongei sababu wanajua wanaongoza katika nchi masikini.
Kali hyo..nimecheki what umedo hapo
Kweli ni Aibu mkuu, yaani ukiangalia miji ya SA ukalinganisha na yetu, na wao bado wanajiona maskini, halafu huku unakutana na mkenya eti mido inkamu, hehehe. But Nina mashaka kama hizi nyumbu za Kenya zitakuelewa, anyway, ndivyo walivyo hawa, vichwani maji tu na kujitia ujuaji,wao wanadhani ni sifa,bila kujua tunawashangaa.
kuna mmoja nilimuuliza hapa hivi GDP YA $80bl nayo ni ya kutamba nayo kwa kelele,ilhali ndugu zetu nigeria na SA wana 300>na hawaongei sababu wanajua wanaongoza katika nchi masikini.
As of 2018 estimates, Kenya had a GDP of $85.980 billion making it the 69th largest economy in the world. Per capita GDP was estimated at $1,790.I said we ni mpuuzi naunazidi kudhihirisha ,so since when our GDP is $33bln? This is 2018 so from a credible source show me how can you prove that?
Mind you our GDP is estimated $56.6bln !!
Nbo GDP is slightly higher than Dar by the gap of not more than $(2-4)bln I will show you how
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
You wish! Najua inakuuma kibera inareduce na Dar(slum) inazidi kuongezeka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na haiwezi bomolewa ju ni Dar yote slum. Ebu imagine 10 years from now vile Dar itakaa na hizo dream house zenyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] & Compare it to Nairobi! a super Mega City Full of Companies and a mind Blowing skyline with No slum at all [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]endelea kujipa matumaini hvo hvo😀😀mulieka mnara mlijua hamutoboi ndio maana mukaona kupachika mnara hehehhehehe😀😛
kibera haitakwisha mpaka yesu anashuka na itakaa the world worse slum mpaka yesu arudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui ni post iende Viral? Ama[emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Waaa...huyu ni mwanaume ama?View attachment 817241