Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nop itamua nairobi vs Kuala Lumpur ama manila jobourg ni uchafuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ongoing SECOND PHASE of the SGR. 1st phase is long done. This is the NAIROBI-NAIVASHA SGR on its way to KISUMU then to UGANDA and eventually KIGALI
 
Gor tabu tupu! Top striker anapanda ki hice cha sacco kufanya mizunguko! Jamaa akaona isiwe tabu
Kakimbia shida kaja kwenye raha, kapewa range, full furnished house na anaogelea kwenye mapesa. Malipo yake ya miezi miwili ni zaidi miaka miwili ya Gor Mahia. Bado Kahata sasa..
 
Hata Ronaldo alitoka manchester akaenda real madrid,thats football for you,im sure his dream is to join the big league of akina victor wanyama sii upuzi wa T shillings
 
not jealous ndio ukweli hehehπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hamuna historia ya kununua ndege cash endeleeni kukodisha
Enyewe maskini akipata tajiri atajipata kwa shida,kandege kamoja and u guyz want to give us sleeples nights [emoji23] [emoji23]
 
Mtu mwenye akili timamu anaweza jenga aje mall katikati ya slumπŸ˜³πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Ativiyo ndio dar ya 2018
warudishie wahusika picha zao heheh unalazmisha iwe darπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Enyewe maskini akipata tajiri atajipata kwa shida,kandege kamoja and u guyz want to give us sleeples nights [emoji23] [emoji23]
heheh leased aircraft ndio tajiri hehehe kweli mchawi mpe mwanao amleeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…