Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wapinzani wetu wanaumia sana wakiona picha nzuri tofauti tofauti za jiji la dar.wanapigwa na bumbuazi.
 
hello kenyans,these beautiful and unfiltered randomly arranged photos you are seeing here,isn't pretoria,capetown or johannesburg,it's dar es salaam,the city of peace and many enjoyments in east africa.

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Annael,
Taratibu Mkuu, utawaua hawa jamaa zetu wa-Kenya tunataka angalau wabaki hai ili waweze kufika hapa na kushangaa!
 
Mpaka sasa Nairobi wanachoweza ku.defeat Dar ni Roads, na Appartments(Real Estate) zenye kufanana ramani na rangi nyingi za kufanana kwa wingi kama wanafunzi na uniform zao. Hii ina maana kwamba kwa Dar kuna ubunifu wa hali ya juu kwenye ujenzi wa makazi, kiasi kwamba hakuna nyumba nyingi za kufanana eneo moja. Kila nyumba na ramani yake.(Every House/Apartment with it's own Architectural Design). Hii vita Dar ni Winner, City without Ocean/Lake scenery ni sawa na bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…