Ukinionyesha hivi vifaa vya kijeshi hapo Kenya nahama JF๐๐AH1 F COBRA
AH1 F COBRA
Hii mnaijua ?? ๐๐ Hii kazi yake nikutungua UAV, Ndege na Helcopter. Hiyo gari ya nyuma ina rada na laser zakunasa nakutuma missel๐ Hiyรด inatungua vindege vyote mkivileta huku๐๐
HAHA
LOL
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2016/10/120072_dd0d2fb47f9e784680a55d17f6417907.jpg
Wako desperate hawa jamaa, hizo helicopter kubwa za Russia wanatoa very far ili tusione details, hizo hakuna nchi yoyote hapa Africa yenye hizo Helcopters, si Egypt wala South Africa. Ninyi zakwenu ni hizo F-5, Second generation very much outdated fighter jets, na hivyo vi helcopter kama popo bawa vinaweza kuangushwa hata kwa mshale pekee.heheh unatuonesha mpaka helicopter za russia au nikuoneshe ushahidi???
View attachment 758111
NIGGA UNDERSTANF THE CONCEPT...nakuonyesha a clear picture then i show you the real Kenyan Aircraft,heheh unatuonesha mpaka helicopter za russia au nikuoneshe ushahidi???
View attachment 758111
nikuoneshe ushahidi kua hio helicopter ni ya russia wewe jibu basi๐ฑ๐๐๐๐NIGGA UNDERSTANF THE CONCEPT...nakuonyesha a clear picture then i show you the real Kenyan Aircraft,
its not easy to get a clear picture of kenyan military aircraft
Makamanda Kazi ya adui ni moja tu. Kumpiga๐๐https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2016/09/117855_6e71e380137701568872faeb3849a15a.jpeg
JEEPS AND HUMVEES
View attachment 758155
kwann isiwe kipigo cha mbwa koko๐๐๐Adui kashambuliwa vizuri sana ahsanteni sana. Akiludi ni mashambulizi tena.๐๐ Kwa sasa tunampiga kipigo cha mbwa mwizi๐๐
baba lao .......new building in tz...mbona wataelewa tuSikujua JKIA haikidhi viwango vya A380 na madage mengine makubwa kutuwa๐๐ Endekeeni kupokea huvyo vu taxi wakati sisi tunapokea mabasi๐๐View attachment 758088
Huyo Gasper Nyovest siyuko na collabo na Diamond. Kwa sasa tunajenga nchi.27th April: J. Cole in Nigeria
28th Apriil: Rick Ross in Kenya
30th April: Chance The Rapper in South Africa
26th May: Casper Nyovest in Kenya
Tanzania???????? ๐ ๐ ๐
sasa hivi tunafanya kitu k8nachoitwa made in Tanzania hawajui kama show zetu sasa hivi hatuwaiti wasanii kutoka nnje...Huyo Gasper Nyovest siyuko na collabo na Diamond. Kwa sasa tunajenga nchi.
Hatutaki huwo ujinga wa enzi za Kikwete.
Huku wanakuja kutalii, Serengeti na Ngรดrongoro.
Hatu wapi pesa bali wanaacha pesa.