Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii nini unatuonesha....nonsense
 
Real estate ya ukweli...impressive
 
Tunaukulia mlima kwa umbali kaka na hakuna kitu serikali yenu inaweza fanya hata kuweka zulia.
hatuna akili mbovu kama zenu.......zulia hasa la nini......huo ni uoto wa asili inabidi uwe wazi......
kuleni kwa macho ila pale ukikatiza kizembe tunawapa vyuma[emoji3] [emoji3]
 
Sana. Kenya hatuwezi fika hio level
hamuwezi na mumeshindwa kufikaπŸ˜€πŸ˜€
nilifurah sana kuskia kenyatta anaongelea kuhusu kujenga ukuta somalia hehe alijua kujenga ukuta ni kama kuvuta bangi tuπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› eti leo anajifanya hataki tena
 
Nyinyi mko juu sana, Level moja na Dubai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…