Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu waambie Sinza ndio sehemu ipendwayo na majirani zetu wa Kenya....
na si tuu hao Sinza kumejaa watu wa Congo DR, Zambia, Nigeria, Malawi, Uganda

Ndio sehem pendwa kwa vijana wa mjini kuna lifestyle flani hvii amazing kwa ajili ya maisha ya kijana wa kisasa...

Vijana wengi was Dar wasipoanza maisha Sinza basi ataenda K'nyama....

Hawajahi kuiskia Sinza humu ndani
 
na sinza ndio sehemu yenye club nyingi na kumbu za starehe nyingi sana na ndio sehemu vijana wengi hupendelea kwani kuna life style ya kipekee zaidi
 
na sinza ndio sehemu yenye club nyingi na kumbu za starehe nyingi sana na ndio sehemu vijana wengi hupendelea kwani kuna life style ya kipekee zaidi
Wameniboa tu kila mahal frame..sinza ilikua designed zaidi makazi ya watu sio na sehemu za biashara...but Ni pametulia sio bad
 
napenda vile huyu presenter wenyu alivyo na bidii ya ku-share information za wasanii wa tz. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
alaf nimsikie mpuuzi yoyote anaongealea kuhusu marina hotel ya mombasa kiboko yake hii hapa

sheikh hiyo kitu ni hatari sana. inaitwa hotel verde.inafunika hotel zote za east africa.

i was there some few weeks ago.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Nakuona lizee la miaka 60 lakini mwili wa miaka 20. Hatari sana.
hahahaha jizee la miaka 60 ila lina kamwili kadogo.

nasubiri mapovu ya wivu toka kwa wakenya watakopo ona hizo picha zangu.

ila mimi napenda sana ninavyo mudu kucheza na akili ya hawa wakenya vilaza wa jf. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…