Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na siku tanzania ikipatwa na njaa nyie mutakua mushakufa tayari😀😀😀😀😀😀
 
Hivi karibuni Wakenya walikuja na uzi wenye tambo juu ya maendeleo waliokuwa nayo kwenye nyanja mbali mbali.
Kila walipofurukuta walikuta siye Wabongo tuko fit kalkit kuliko wao.
Sasa naona wote wamefurumuka mbio.
Mpaka sasa Tanzania goli 5 na Kenya bado hawajapata kitu. Tuzidi kusonga mbele nyuma ya kocha Magufuli...
 
Ungetaja hizo nyanja kwanza
 
Mkenya tu ndio anaweza kujisifia kuongea kingereza wakati marekani hadi homeless wanajua kuongea kingereza fasaha zaidi ya mkenya na bado ni homeless kuonyesha kiingereza hakijamsaidia chochote.
sijaongea kuhusu kujisifia lugha yoyote buda. kuja kivyengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…