Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

bring more brother...tunajua ni lazma muharibie nairobi jina ndio msikike...continue
Nani anawaharibia?? Unataka ubishe hapo sio Nairobi???[emoji23][emoji23][emoji23] usikute wewe mwenyewe ni mmoja Wa wakazi katika kata ya KOROGOCHO AU MATHARE
 
middle class mara tatu yenu....LDC omba omba wa tz😀😀😀😀ni ipi failed state sasa? haha
Teh Teh[emoji23].. Wakati mpaka tumewafungia mipaka jinsi mnavyojazana nchini kwetu.. Nenda Namanga uone watu wanavyolia eti kisa tumekataza wasiingie nchini[emoji23][emoji23]
 
Teh Teh[emoji23].. Wakati mpaka tumewafungia mipaka jinsi mnavyojazana nchini kwetu.. Nenda Namanga uone watu wanavyolia eti kisa tumekataza wasiingie nchini[emoji23][emoji23]
haha
usisahau tunawalinda albino wenu😀😀😀😀😀
 
middle class mara tatu yenu....LDC omba omba wa tz😀😀😀😀ni ipi failed state sasa? haha
Ukiondoa akili ndogo za wakenya, na sifa za kijinga, Kenya kamwe haiwezi kuifikia Tanzania kwa mambo mengi sana, Tanzania middle class is 10% while Kenya is 5%. Lete ushahidi kuonyesha middle class ya Kenya ni kubwa kuizidi Tanzania, otherwise endelea kuota.
http://allafrica.com/stories/201509220924.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…