Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

naomba nifafanue kidogo kuhusu urahisi wa kupata picha za kibera mitandaoni.

haya ni maelezo maaulum baada ya "mugger" mmoja kutoa kilio kikali sana mara tu nilipo upload picha za slum za kenya nilizo zitoa instagram

mugger yule analaumu wazungu wanaoweka kambi na camera zao maeneo ya slums kwa kisingizio cha kutoa misaada ilhali wao wakilala kwenye hotels za kisasa huku siku za weekend wakienda vacation mbugani.

nataka niwaambie, kila kitu kina sababu zake. na sababu ya yote hayo ni slums. wazungu wanatumia slum za kenya kama sehemu ya kustarehesha bongo zao.

ndio maana wanapiga picha watoto wa slum na mazingira ya slum baadaye wana upload kwenye social media ili ndugu zao walioko huko ughaibuni waone na ikiwezekana wawatumie pesa.

kwanini wasifanye hivyo dar es salaam,maana hata dar wazungu ni wengi tu na wanapiga picha kila siku.

wanashindwa kufanya hivyo kwasababu dar haina slums. dar haina maeneo ambayo watu wanaishi kimasikini kama kibera. kibera's case is one of its kind.

hata ningekuwa mimi ningefanya hivyo. na siku nikifika kibera lazima nitapiga picha kwa simu yangu. kibera ni utalii tosha ndani ya kenya.

mkitaka picha za kibera zisipatikane kwenye mitandao, fanyeni kama north korea kwa ku restrict baadhi ya maeneo yasipigwe picha. otherwise kila siku inayopatikana, picha mpya ya kibera inawekwa kwenye social media.
 
Feelings peleka labor

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…