Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Prove that it is 14km long with pictures of course.
No picture can cover all the kilometres, jiongeze basi hata kidogo

The most important thing to prove is Google Map only, sawa nyang'au....

Halafu yaani kama kweli mtu kashawahi fika Dar hii ndo barabara yake ya kwanza kutia mguu akitoka tuu kwenye pua ya Airport

This is the Nyerere Road

Starts at Kamata Junction, Kariakoo to Gongo la Mboto through Julius K. Nyerere Airport

Hapa ndipo BRT phase 3 itakapopita 21.something Km's
 

anadhani ni hivyo vibarabara vyao vya km mbili mbili.
 
42 fuckin minutes on the road? Same na kusafiri from Nairobi to Nyeri 160km or from Naivasha to Nairobi na tukiwambia Tz haiwezi fikia Kenya mnalalamika mkitokwa povu. Hahahahahahaha ati 45 minutes from the airport to the City center Kwani mnatumia mikokoteni kwa usafiri.
 
BTW Ndinda ni jina la msichana la Kikamba.
Nikwambie kitu. Tactics zako ni za kishamba go to school. Sisi tunakuja na evidences lakini mwenzetu unarusha maneno tu. This is a great thinkers site. Hii siyo JamiiForums.com.com my friend, mnaongea simple and childish things. Hapa tunaongea critical and analytical things. Go to school bro or use your brain properly.
 
Prove kwamba Nairobi to Nyeri ni 42 minutes.
 
Tulia we kijana, mbona unapayuka hivoo..!!?

Kutoka JKIA mpaka CBD kwenu ni almost half of hour ( 30 Min ) hapo hapo kwakua mna barabara nzuri na pana ukichanganya na vieneo vilivyonyanyuka mkaweka tofali huku na huku then mkaita flyover sijui interchange kwhy muda lzm uwe mdogo


Hii ya kwetu ni busiest Highway, sawa we nyang'au na ndio maana TAZARA flyover inajengwa across this Highway kwa ajili ya kurahisha safari za kutoka CBD to Airport

Hii barabara kutoka Airport to CBD ina traffic lights almost 7 hivii sasa fikiria hapo we mwnyw na ndo maana phase 3 ya BRT haijaachwa nyuma katika barabara hii....
 
Bro eeh... Hapa ni Jamii Forums, with a moto of 'Where we dare talk openly' ila ww unapitiliza kumbuka hapa ni "Home of Great Thinkers"

We talk about facts no blah blah km za Sonko, sawa buda...

Nairobi to Nyeri, haya niambie sasa how many hours are there!??


Nairobi to Naivasha, how many hours are there!??

Mbona unapenda uwongo hivoo!? eti Dk 42... Hizo ni sawa kutoka CBD kwenu hapo hadi Wilson Airport
 

huyu kuku anaboa kishenzi yaani.

sjui anadhani sisi ni mafalaa kama yeye???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…