Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maku USA akopi ili alipe mishahara au alipe deni,hao unaojilinganisha nao wamekata msaada wa arv sasa hivi huko kunyaland ukimwi umesambaa kama njugu
 
Kupitia Sudan and Red Sea … do you see the bigger picture now … use your High school level knowledge if you ever finished to figure out …
 
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1930368869077504444Yan wanaumia mno uwepo wa TZ SADC,wanadhani SADC ni ulaya sijui 😃😃
Kenya ipo COMESA pia nani anapiga kelele? Tanania is a founder nation of SADC! Huyu mbwa anaumia nn? Halafu anaposema Tanzania haija-invest much anamaanisha nn?

Arusha kuna stadium, kuna Mount Kilimanjaro international convention, kuna uwanja wa Kisongo unapanuliwa, kuna state of the heart hospitals, kuna several state of the heart hotels n lodges U/C!
 
Huwezi kukuta media kubwa za Tanzania zikijadili issue za kunyaland,ila wao sasa kutwa kuongelea TZ
 
Huwezi kukuta media kubwa za Tanzania zikijadili issue za kunyaland,ila wao sasa kutwa kuongelea TZ
Tofauti ni kwamba mnafuatilia media za Kenya sana kwa hivo Tanzania ikitajwa tu inakuwa trending issue hapo Vumbistan. Huku kwetu hata hatujia TV station za kwenu zinaitwaje. Mnaweza shinda siku nzima mkitujadili na hatuna habari - Mganga na Umbwa.
 
Kiberawalker utapiamlo wa ubongo umekuaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…