Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,156
- 107,724
Ule wa Dodoma mbona wakiongeza manpower wanatoboa?
Nyang'au wanajua kujifariji na kujiongopea🤣
hakuna kujifariji apa...mwendo ni wa kusema na kutenda..lile experessway yenyu ilifikia wapi?alafu SGR tangu enzi za mapadlock mumeshindwa kumaliza...ni miaka ngapi tangu SGR ianze ?Nyang'au wanajua kujifariji na kujiongopea🤣
Nyayo is a training ground and there was no renovation going on.Wewe kumbe hata hajielewi!
Haujui ni viwanja gani vipo appointed kwa mechi na vipi vimetengwa kwa mazoezii!?
sisi wenyewe bado tunasubiria
sasa si bora mapadlock, wengine wana 10 years na distance yenyewe ni arusha na moshi 😂😂😂hakuna kujifariji apa...mwendo ni wa kusema na kutenda..lile experessway yenyu ilifikia wapi?alafu SGR tangu enzi za mapadlock mumeshindwa kumaliza...ni miaka ngapi tangu SGR ianze ?
naskia oburu kashamaliza yakehakuna kujifariji apa...mwendo ni wa kusema na kutenda..lile experessway yenyu ilifikia wapi?alafu SGR tangu enzi za mapadlock mumeshindwa kumaliza...ni miaka ngapi tangu SGR ianze ?
as days go on, you always get worse 😂 😂 😂 who told you training grounds are not subjected to construction, didnt they tell you thats the #1 thing they inspect when they arriveNyayo is a training ground and there was no renovation going on.
Acha kulazimisha maneno.
that looks much better, check this out
View: https://www.instagram.com/reel/DeMqP4hA3Yg/?stkn=enhuM2tzM3BodHpl
Kule North ukisikia SGR wanamaanisha kama hii 😃😃