Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani refinery inapigiwa kelele kweli. Wakati hata Tanzania tunajenga ya kwetu. Ukiona kelele hivyo ukue kuna kitu kinafichwa hakiko sawa.
EACOP ile ndio inayowaumiza,walitaka waingie kwa mgongo refinery ya dangote,ukitaka kujua wameumia angalia upande wa serikali ya TZ baada ya kufunga mjadala wa refinery ya dangote awajaongea tena,wao sasa na dangote kila siku tanga aiwakauki mdomoni
 
Sku sio nyingi unakua chokoraa? mm nmepost nmeenda Boma inn?????????? unajua ata niko wap saaahv ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ au umaskini unakusumbua
 
I like the way you people dart between dismissing this project as a white elephant and crying over losing it to Kenya.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwamba TZ ilikua inashindana kupata huu mradi .? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unajitafutia battle unasema mpinzani wangu atakua fulani halafu unajitangaza umeshinda. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
EACOP ile ndio inayowaumiza,walitaka waingie kwa mgongo refinery ya dangote,ukitaka kujua wameumia angalia upande wa serikali ya TZ baada ya kufunga mjadala wa refinery ya dangote awajaongea tena,wao sasa na dangote kila siku tanga aiwakauki mdomoni


Kelele zote hizo ni kuhusu EACOP. Just imagin project ya billions of money inakimbizwa haraka haraka kama uuzaji wa nyanya. Refinery project need a lot of process.

Walinusa wakaona kuna Refinery inajengwa Tanga. Sasa wamekuja na kelele ili waonekane wao ndio walikuwa na wazo. We don't Care.

Hiyo dawa yao ni kama paracentamol inatuliza maumivu lakini ugonjwa bado upo pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ