Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That branch was Mlimani City, the only operational branch in Sundays in Dar ,
Plus Visiting banks is just a regular practice for any economy. Despite having everything digital.
Halafu you guys are fools kudhani cashless is a big deal. Au ndio ulimbukeni. Hata basic knowledge ya finance hamna. In the modern world you can go cashless in any country muhimu tu uwe na mtandao. Mbona mna akili Kama za Mbuzi?
 
We don't compete with Tanzania. It's Tanzania that's competing with Kenya. Have you ever seen an old man competing with a toddler?
 
Why are you answering what you have not been asked? Kama it's the only branch that's open on Sunday's, does it mean on Sunday's the mobile banking is not working?

Just accept that the regular Tanzanian still doesn't understand anything about digital banking.
 
Mwambie akuletee hivyo vyanzo vyao vya umeme uone kama wanazalisha zaidi ya 2500 MW.
 
Nangoja niambiwe running track itawekwa wapi hapa.

View attachment 3679843
Hapa wasee wakifika kwa corner lazima watumie hizi rails kama stopper kwanza ndio wapige turn. Not to mention itabidi wa conpete watu watatu each lap.
meanwhile tukubali tu kushibdwa, yao ni kubwa sana, inaweza beba stendi na running track mbili
 
Yaani akili yako inakutuma kuwa Bank ni kutoa na kuweka pesa tu. That’s what you know. League yako iko chini sana.
 

Kaka nimeona ulivyolipuka in 2019,yan hizo kunyan zote umezifunika👇 location imembeba lakini wapi,kunyan ni machafu 🤮
 

Attachments

  • Screenshot_20260929-071543.png
    1.9 MB · Views: 9
Yaani akili yako inakutuma kuwa Bank ni kutoa na kuweka pesa tu. That’s what you know. League yako iko chini sana.
I have buried you in your own grave, KAZI sasa ni kurusha Tu matusi.

By the way wewe ndio unaezakuwa uko ligi ya chini, What do majority of customers go to do in the bank? Borrowing loan and opening accounts isn't even about 1% of all the people who uses bank services.
 
Ukubwa ni sawa, football stadium kwa EA mpk sasa ni Fumba stadium ya Zanzibar Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…