Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Source Mama Ngina
Porn addict this is clearly not your forte
We can visit Indonesia and other much more important countries visa free yet you are so excited about South Sudan… which btw (Sorry to burst your bubble) we can also visit visa free..
Hii ni ubaya ya kutoa kila kitu social media bila any hint of verification.

Here is what it says when i try to apply for visa for South Sudan
 
Dar es Salaam ilikuwa safi kuliko Nairobi na hatukuwa serious kwenye usafi ila bado tuliwashinda majirani parefu sana
Sasahivi Dar inaingia kwenye New Era. Tumeanza kuwa serious na usafi na tumeanza kuweka sheria kali
Within just 1 month Dar itakuwa haikamatiki kwa usafi 🇹🇿🇹🇿
😂😂 Wakenya sijui ni lini mtasafisha mavi yaliyojaa mitaani hapo Nairobi. Ni aibu.
Your browser is not able to display this video.
 
Reminds me of that rebel leader alikuja kukutwa na kenya passport 🤣🤣🤣 alafu toka lini south sudan ni visa free for bungom residents? 🤣🤣🤣
 
vile tulikua tunalalamika dar ni chafu wao wakiona wanasema the cleanest wakati uku tunalalamika 🤣🤣🤣 btw hakuna city chafu kushinda bungoma in the whole region, ata south sudan ambayo imetoka kwenye vita ukienda juba its very clean atleast to kenya standards 🤣🤣🤣🤣🤣
 
alafu i told you those entries will be updated tayar mshashushwa 52 postions down 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…