ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,309
- 89,716
Sasa hivi watalii na wasafiri wengine wa UK watakuja direct to TZ bila transit ya naikundu,hapa tunazidi kuibana kq route zake za TZNow that skrap can die in peace with unlimited losses
View: https://x.com/NasimamaNaMama/status/2100584721377812545?s=20
Bado hujafuta ujinga uliopost!
Crazy,mwanzo tu wanaanza na route ya mara 3 kwa wiki,british wamenusa kitu,aitowachukua muda wataleta daily flight hawa
Mombasa- Malindi highway si 6 lanes .. kwanini unataka kudanganya watu.?Usilie bas tutawacha
Mombasa-malindi 6 lane highway progress
View attachment 3673100
View attachment 3673104View attachment 3673105
Siku hizi hata vitu vya kutafuta tu kwa mtandao akina mbilikimo wanashindwa.Mombasa- Malindi highway si 6 lanes .. kwanini unataka kudanganya watu.?
Dodoma na Unguja zitatangulia kupata six lanes roads before Mombasa. As we speaking tayari Unguja barabara inajengwa, Dom tayari tenda Umeshatangazwa,
Ndio hususani Utalii na AfconCrazy,wanaanza tu na route ya mara 3 kwa wiki,british wamenusa kitu,aitowachukua muda wataleta daily flight hawa
Hii sio kichwa tu cha mwendawazimu bali ni mwili wa mwendawazimu 🤣🤣🤣