kuna elnino 🤣 🤣Hapa utalaumiwa udongo,kumbe ni watu wa kitu kidogo 😁
Sasa kwa nini hawaendi kuchukulia Gikomba 😂😂Ni mamia ya wakenya wanakuja kufunga mzigo kariakoo, Tanzania ni china yao.
Kwani hujamsikia huyo demu anasema zimekuwa manufactured TanzaniaKenyans do buy products imported from Tanzania, it is more accurate to say that Kenyans are importing through Tanzania because of the higher taxes imposed on certain imports coming through Mombasa.
Calling Tanzania the “China of Kenya” is therefore just stupid. Kenyans don't import through China; they import from China products that are manufactured in China. In this case, they are importing through Tanzania, which is a completely different thing.
It's the same way Tanzanians import certain products through Kenya. The fact that a product passes through a country doesn't mean that the product originated from that country.
Izo sandles are manufactured apo apo kariakoo kuna sehem kuna kiwanda chakeSasa kwa nini hawaendi kuchukulia Gikomba 😂😂
jamaaa anaelezea mambo ya mombasa port wakati wenzao wanachukua kiwandan 🤣Kwani hujamsikia huyo demu anasema zimekuwa manufactured Tanzania
Yani anatoka Kenya, anakuja Tanzania anaangiza bidhaa kutoka kiwandani kama wanavyofanya wafanyabiashara wa Kariakoo, zinaletwa Kariakoo anazipokea halafu anazisafirisha kwenda Kenya huko, ndio anaenda kuuza kwa cheap price
Btw ndo njia pekee ya kumaximize profitKwani hujamsikia huyo demu anasema zimekuwa manufactured Tanzania
Yani anatoka Kenya, anakuja Tanzania anaangiza bidhaa kutoka kiwandani kama wanavyofanya wafanyabiashara wa Kariakoo, zinaletwa Kariakoo anazipokea halafu anazisafirisha kwenda Kenya huko, ndio anaenda kuuza kwa cheap price
Btw sometimes nahisi pale kuna kajini, ukiwa kariakoo unatamani ubebe kila kitu 🤣🤣🤣🤣Kwani hujamsikia huyo demu anasema zimekuwa manufactured Tanzania
Yani anatoka Kenya, anakuja Tanzania anaangiza bidhaa kutoka kiwandani kama wanavyofanya wafanyabiashara wa Kariakoo, zinaletwa Kariakoo anazipokea halafu anazisafirisha kwenda Kenya huko, ndio anaenda kuuza kwa cheap price
So what is the essence of sharing this Mr. Jobless?
Tanzania imports more manufactured products from Kenya than the other way round. We just don't make noise about it.Lini mtakubali?kama hakuna macho hata kupapasa 🤣🤣
Things are slowly changingTanzania imports more manufactured products from Kenya than the other way round. We just don't make noise about it.
ofcourse for you to read and there is moreSo what is the essence of sharing this Mr. Jobless?
Mimi ni mvivu tu kupiga picha ila kuna industrial area kule Kosarawe II Kigamboni ni balaa. Kuna viwanda vingi na bado vinajengwa. Kuna viwanja vya makazi vinauzwa maeneo ya huko vijana rukieni fursa hizo.Wakati Wakenya wa JF wamekuwa so fooled by their ego wanaignore jinsi Tanzania inavyokuwa East Africa's manufacturing hub, wenzao wameamua kutumia hiyo fursa. Maendeleo ya Tanzania ni faida kwa East Africa, kama huyo mfanyabiashara ni Mkenya na ananufaika na uwepo wa viwanda Tanzania
Hawa wa humu acha waendelee kupretend kama Tz ni some random country in East Africa. Tutawaonyesha sisi ni nani, soon watakubali tu watake wasitake 😂😂