Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daahh hujamfanyia poa lkn 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sema opening match ndo ya muhimu, timu yako inacheza alafu everywhere duniani wanajua kabisa afcon inafanyika wap, baada ya hapo hua mechi hazina issue sana as watu wanafuatilia za nchi yao basi wamemaliza ila opening game dunia nzima inaangalia πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…