Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

si ushaweka yako yangu ya nn sasa, will it change the fact that una simu mbayaaaaaaaaaaaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani unaogopa watu kuona simu yako? Ni ya 2GB Ram ama?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
We fala kwel, kuna mtu kasema ujenzi umeanza? si umeuliza location
Nyamwezi, angalia kitu kilaza mwenzako alisema baada ya NairobiWalker kupost picha ya ujenzi wa NNS Twin Towers Nairobi with tye caption: Tallest building in east and central Africa.

Out of jealously, this is what he said πŸ‘‡
Hii issue ya Render tulimalizana nayo jana. Hakuna upcoming building in east africa ndefu zaidi ya TRA hq Building

Kama mnajua hilo jumba is still in proposal stage and its render still gathering dust somewhere na bado hata haijulikani kama litajengwa, why are you then comparing it with a building that's already under construction? What's the logic here?

To make matters even worse, he claims it will be taller than NSSF twin Towers at 162 meters (40 floors)πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Does he know how tall NSSF twin towers will be?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…