Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna ChatGpt, Gemini, ni wapi pamendikwa ni lazima tutumie Claude!
Na mtu anaweza kudhani labda mpo namba moja kwenye matumizi ya Claude! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Juu hizo nchi zote juu yenu hazina ChatGpt na Gemini.
Bongolala wewe. Ata Chatgpt na Gemini watoe rankings, mko mkia huko pia. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
You should give him more lessons on AI plus all other bongolalas in here as well. I read this somewhere this morning.
 
Mtu wa Tech nisiwe na idea kuhusu Claude! Wewe kweli kondoo.

View: https://x.com/herroboter/status/2087859754471186607?s=46
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…