Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo El Mincho badala ya kuandika El Mencho yeye kaandika El Mincho. Hakuna mtanzania mbumbumbu hivyo.
Haaahaaha ndio akili zenu hizo wabongo, " critical thinking" = 0, sasa hapo kwa akili yako unadhani nimekosea kumbe mwenyewe nimejitofautisha. Wabongo kubalini kua wakenya wamewazidi kila kitu hadi hilo jiji la Nairobi huwezi linganisha na kijiji cha Dar chenye maghorofa yaliojengwa bila mpangilio wowote. Kigari tu hapo ni jiji dogo lakini limepangiliwa na safi kuliko bongo, jiji gani mvua zikinyesha ndio muda wa watu kutapisha vyoo uliona wapi hio , jiji chafu .
😎 😎
 
Hata Kiswahili hujui
 
kipi kingine walikudanganya

View: https://www.instagram.com/reels/DVku11DCLEu/

Kumbe kuandika El Mincho badala El Mencho ni critical thinking huko Kenya aka Ukunduni
 
Huyo El Mincho badala ya kuandika El Mencho yeye kaandika El Mincho. Hakuna mtanzania mbumbumbu hivyo.

Hata Kiswahili hujui
Akili hamna vijana wa bongo mmebaki kutambia kiswahili, chukua kijana wa Kenya na mbongo hapo wote wawe na degree uone nani atachekesha. Basic knowledge tu ni shida, jitu lina degree lakini kichwani mavi matupu.
 
Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…