Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi ni mbongo lakini kulinganisha Dar na Nairobi ni insane wandugu. Nairobi mji umepangika sana na upo vizuri sana kuliko jiji langu la Dar. Yes, kuna slums area kama Kibera, ila Dar ina slum pia Manzese, M'nyamala huko, mbagala nk. Nairobi iko kwenye level ya majiji kama Johannesburg, Pretoria, Cairo, Addis Ababa n.k. Dar bado sana, mpangilio wa jiji umeharibiwa na ujengaji holela wa sehemu za wazi za mapumziko ya watu na viwanja vya michezo. Jiji kupendeza sio majengo ya maghorofa ni pamoja na mpangilio wake na miundo mbinu pia.
 
Hakuna mbongo anaandika kama wewe. Jaribu tena baadae
 
Ata sisi tulikua tunajua mbagala ni slum mwanzo mpaka pale tulipofika kwenye maaana halisi ya slum
 
😂😂 Sawa Mtanzania mwenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…