Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu with such a masterpiece illuminating the Nairobi sky at night, CAF wapeleke fainali kwingine!
Btw akibua was the last time choosen for a final, they complained about the last arrangement ya CHAN
 
Kule msituni tunaletewa picha moja ya playing surface asubuhi hadi usiku!🤣🤣 Picha za interior parts ziliuzwa🤣🤣
Sasa na nyie si mlete za kwenu ama shida gan apo 🤣 leta picha za grass na skai pot
 
Btw akibua was the last time choosen for a final, they complained about the last arrangement ya CHAN
Sawasawa Mr insider info 🤣 🤣 🤣
Lakini ungefanya vizuri zaidi kama ungeleta na evidence angalau
 
Sawasawa Mr insider info 🤣 🤣 🤣
Lakini ungefanya vizuri zaidi kama ungeleta na evidence angalau
The last time naisema haukuepo nn mwana etu mbna nlileta news way before the last meeting ya uganda
 
The last time naisema haukuepo nn mwana etu mbna nlileta news way before the last meeting ya uganda
Kwa hivyo CAF walishapanga ratiba za mechi wakati haiko hata kwa website yao! 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…